This job listing has expired and may no longer be relevant!
12 Jun 2021

Mkaguzi Mwandamizi (1 Post) at TTCL

Job Description

JOB POST DETAILS
POST:  MKAGUZI WA NDANI MWANDAMIZI – 1 POST
POST CATEGORY(S) :ACCOUNTING AND AUDITING
EMPLOYER :Tanzania Telecommunications Company Limited (TTCL)
APPLICATION TIMELINE: 2021-06-11 2021-06-23

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
i.Awe ni mwajiriwa katika Utumishi wa umma,

ii.Awe na Shahada ya kwanza katika Uhasibu, Fedha, Usimamizi wa biashara/ Biashara inayojumuisha Uhasibu au Fedha au sifa sawia kwa Taasisi inayotambuliwa pamoja na CPA (T), ACCA, ACA, CIA au sifa sawia ya kitaalam inayotambuliwa na NBAA.

iii.Uzoefu wa kazi wa angalau miaka saba (7) katika fani inayohusiana

REMUNERATION: TTCS 7

CLICK TO APPLY

Apply for this Job